Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Makamanda Hatukomi tu.

Utenis Utena - FK Spyris Kaunas Y odd 1.59
SK Slavia Prague v MFK Ruzomberok Slavia win normal odd 1.45
Portugal v Iceland Portg win normal odd 1.45
STAKE 30000
Return 99000.



Chief tupo pamoja hapo kwa Utenis Utena ... tutasaidiana kubinyaa ... hahahahaha
 
Historian kwenye mpira Kwa sasa sio issue angalia alichofanyiwa Brazil,then fatilia kufuzu kwao kwenye makund utaona nan yuko vzr Kwa sasa.
 
Historian kwenye mpira Kwa sasa sio issue angalia alichofanyiwa Brazil,then fatilia kufuzu kwao kwenye makund utaona nan yuko vzr Kwa sasa.
Mashindano makubwa haya mkuu hakuna timu ya kubeza, watu wanapigania utaifa so ni kufa au kupona.
 
Portugal 28+


Mmmh, Chief ningekuwa ni mm nisingeweka hiyo option kwa mechi ya Portugal vs Iceland. Hii game nafikiri ndio itakuwa na magoli mengi kuliko game zote zilizoshachezwa. Hii game ni 3+ ...
 

Mmmh, Chief ningekuwa ni mm nisingeweka hiyo option kwa mechi ya Portugal vs Iceland. Hii game nafikiri ndio itakuwa na magoli mengi kuliko game zote zilizoshachezwa. Hii game ni 3+ ...
Okey..ngoja niwape 2+ maana Euro ya mwaka huu hakuna kibonde...Italy vs Belg ilikuwa imechangamka kweli kweli lakini 2+ yenyewe ilitokea kibahati
 


  • Tuesday 14. June 19:00
    Austria vs Hungary
    Both Teams to Score
    Bet: N
    Odds: 1.64
  • Tuesday 14. June 22:00
    Portugal vs Iceland
    Over/Under Full time 2.5
    Bet: O
    Odds: 2.05
--------------------------------
Total Odds = 3.36
 
Hungary
Odds chache isiwe kigezo cha kutoa ushindi
HTH inafaa sana
 
Hapa minaomba lipatkane la pili maana nilitupia over 1.5 na mda unaisha but mpira ni DK 90 ngoja nijipe moyo.
 
Leo muhindi anikwepi lazima tugawane hasara
 

Attachments

  • 1465925825748.jpg
    1465925825748.jpg
    13.8 KB · Views: 26
Back
Top Bottom