Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kafunga la Pili tayari Ila wasiwasi ndio akili mkuu,
By the way sijaumia, coz ni cashout yenye faida mara 2 ya dau langu.....nisingecashout ningepata mara 3 ya dau.... Lakini je vipi wasingeongeza goli!? Ningekosa vyote!....!?

Faida zaidi ya dau ni bora kuliko kukosa kabisa....

Ndege mmoja mkononi.... ni bora kuliko wawili walioko angani mkuu....


Niliweka same option code 2 zote... Ingekuwa nimepick market 2 tofauti... Win kavu na over 1.5 .....beleave me nisingecashout code yoyote hapo... !

Maana ningejua ni lazima code Moja itawin, ama zote mbili....nilifikiri kabla ya kucashout
 
Kampuni gani?
 
Yes umefanya vizuri mkuu ni vyema sana kujihami muhimu, kuliko kukosa vyote Bora ujiondoe mapema kwa cashout hata ukipata nusu na robo sio mbaya faida unakua umepata angalau
 
Nipeni mauwa yangu [emoji3515][emoji3515][emoji857][emoji857][emoji857]
Back to business
Kama uliona hii
View attachment 2596803
Aahaahaaa

Aya hapa
๐Ÿ’๐ŸŒน๐Ÿฅ€๐ŸŒบ๐ŸŒท๐ŸŒธ๐Ÿ’ฎ๐Ÿต๏ธ๐ŸŒป๐ŸŒผ๐Ÿ‚๐Ÿ๐Ÿ„๐ŸŒพ๐ŸŒฑ๐ŸŒฟ๐ŸŒฟ๐Ÿƒโ˜˜๏ธ๐Ÿ€๐Ÿชด๐ŸŒต๐Ÿ„๐ŸŒณ๐ŸŒฒ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒท๐ŸŒท๐ŸŒท๐ŸŒท๐ŸŒท๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒบ๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน๐ŸŒน
 
Nimempa ya sadaka mhindi.....
 

Attachments

  • Screenshot_20230423-055947.png
    25.3 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ