Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ivi unaweza ukawa na mkosi na kampuni flani ya kubet au ni fikra p0t0fu tu... Kama ni kweli basi nadhani sportbety nina mkosi na0 sijawahi kula tangu nimeanza...nishaliwa kama 1m na ushenzi...
Sio kweli

Mkosi majina

Wengi tunaopenda kutumia Nicknames tata huwa tunapigwa mnooo.

Sasa wewe unaitwa MDIGOKHAN unategemea nini,yaani unalazimisha undugu kwa KANJI KHAN wakati wewe ni MGIRIAMA
 
Kweli mkuu, noma Sana
 
Sio kweli

Mkosi majina

Wengi tunaopenda kutumia Nicknames tata huwa tunapigwa mnooo.

Sasa wewe unaitwa MDIGOKHAN unategemea nini,yaani unalazimisha undugu kwa KANJI KHAN wakati wewe ni MGIRIAMA
Lakin wewe kujiita ivo ni sawa haha
 
mazee ushauri hapa,
nataka niwape hawa direct win

pyramids 1&over 1.5,
usg win (belgium)
adana win (turkey)
glassgow rangers win
bha vs utd kona ov 8.5
newcastle spurs kona 8.5
galatasaray win

naombeni ushauri niondoe yupi nikabize yupi, nataka odds 4-5 hapa
 
Jans Celtic na vi odds vyake aka draw, Burnley nae nikampa 1x nae akapigwa 1-2 dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…