Nenda ukachaji simu kwanza mkuuKwa vipigo dhidi ya spurs jmn naombeni ushauri nichukue changu au nikaze? View attachment 2597174
Mkuu dk bado subiri kipindi cha pili kitaeleweka tuKwa vipigo dhidi ya spurs jmn naombeni ushauri nichukue changu au nikaze? View attachment 2597174
Mikeka inavyoondoka mpaka roho inauma
Nenda ukachaji simu kwanza mkuu
Chukua Hela hiyoTucash out au tusubiri hizi nn zipo offtime tunahitaji goli moja moja, rives,Tottenham,toulo na brestView attachment 2597192
OkChukua Hela hiyo
Duu pole sana mkuu jaribu pia kuwa una editLeo vipigo vimetukalia kooni asee mikeka zote nilizokusanya humu ndani sijaona mkeka unaopumua.
odds za utopolo zilifika 7, sijui kwanini sikumfuataNingekuwa na mpunga leo
View attachment 2597237