Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,611
Huu ndo uanaume sasa
Mama ugoro hapo juuNaombeni ushauri nataka nimalize salio langu nijue mojaView attachment 2597259
Kama option gani ambayo huku haipo??Watu tunaoishi ughaibuni 1XBET ni nzuri sana kwetu coz ina option nyingi sana huko bongo mnabinywa sana kwenye options kiasi ambacho kupata faida inakuwa ngumu sana zaidi ni kupigwa vipigo vizito vizito yaani ukila mkeka mmoja unakuja kupigwa vipigo kumi mfululizo na huna pa kutokea...
Hongera mkuuzilizorudi leo
View attachment 2597264
Sio lazima kuwekaWakuu najisajili 1xB promo code niweke ipi
🙏🙏Hatma ya maisha ya code zangu iko mikononi mwa kijana anaeitwa ASTANA!......ametokea kwenye code 6/8 but different markets
Ilitakiwa useme team zilizobaki ili upewe ushauriView attachment 2597286
Nisikilizie au
Unanikumbusha lile dude meridian lakuitwa AVIATOR Huwa naskilizia mpunga uongezeke mara gaflaa bin vuu ndege inachomoka kama mshale.View attachment 2597286
Nisikilizie au
Kanuni mwenye kidogo atapokonywa hata hicho alichonacho mwenye Vingi anaongezewa[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwisha habari sasa , rasmi hakuna ninacho subiri kwake na yy hana anachosubiri kwangu yaani kiufupi kachukua ata kile kidogo changu🥹
Team watakayotema sana mate uwanjani HT/FT, KilimbatzzKama option gani ambayo huku haipo??
AajaaaaaTeam watakayotema sana mate uwanjani HT/FT, Kilimbatzz
Ughaibuni wanapendelewa sanaAajaaaaa