Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,847
[emoji857][emoji857][emoji857]Inauma, unafata code zte zinachanika alafu ghfla unaona mikeka imewin[emoji23][emoji23][emoji23]
Kanuni mwenye kidogo atapokonywa hata hicho alichonacho mwenye Vingi anaongezewa[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanikumbusha lile dude meridian lakuitwa AVIATOR Huwa naskilizia mpunga uongezeke mara gaflaa bin vuu ndege inachomoka kama mshale.
Hiyo ng'ombe inaitwa kilimbaz....ina pozi za kike kike kama malaya wa Ambiance! Kila post ya mtu inaleta emoji za kuchekacheka hata visivyochekewa!Team watakayotema sana mate uwanjani HT/FT, Kilimbatzz
Brighton wako form sana ngoja tuone FTOdd 3 za Maniyuu zilinitia uchizi nikawafuata mazima
Kuna dalili za ushindi ??
Kilimbatzz njoo huku wameamua kukusiginia kunguniHiyo ng'ombe inaitwa kilimbaz....ina pozi za kike kike kama malaya wa Ambiance! Kila post ya mtu inaleta emoji za kuchekacheka hata visivyochekewa!
Kanji hana huruma anapiga watuHabari zenu wawekezaji. Nawasalimia nipo mapumzikoni nitarudi. Ni matumaini yangu Kanji mnampasua kila angle
Rangers leo alikuwa hana cha kupoteza yy ni nafasi ya pili kaachwa mbali na nafas ya kwanza pia wa tatu hawezi mfikia, kwa Hyo anajiandaa na cup na hiyo ilikuwa gemu ya mwsho ya ligirangersssssssss...........
hizi timu zingine hizi sijui
Ni wa yule jamaa wa Facebook zimebaki mechi kama 5 utoboeKuna mkeka wa sporty bet una kimbiza balaaa over 1.5.