dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,352
ligi yao ndio imeisha leo?Rangers leo alikuwa hana cha kupoteza yy ni nafasi ya pili kaachwa mbali na nafas ya kwanza pia wa tatu hawezi mfikia, kwa Hyo anajiandaa na cup na hiyo ilikuwa gemu ya mwsho ya ligi
basi niliweka kimazoea aisee......
anyway, hata bila yeye leo nimechezea vichapo sio poa