Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,527
- 3,650
Npo aisiyuu aumashabiki wa the gunners tupo...
Npo aisiyuu aumashabiki wa the gunners tupo...
Bukayo sakaaaaaaa....... 26 April, tunaenda kumla halland..Npo aisiyuu au
Jomba, nipe mtaji basi. 🙉
Ukute anawatamanisha awauzie odds [emoji2]Ungepost
Huu nimeufata
San Martind Mendoza wamepewa red card mbili babeq na ubao unasoma 1-1 kipindi cha kwanza.
Hiyo game hamtoboi hata mmuue albinoBukayo sakaaaaaaa....... 26 April, tunaenda kumla halland..
🤭 hutoamini macho yako, man city anafungwa magoli 3.Hiyo game hamtoboi hata mmuue albino
Game bado nyau nyau, Juve VAR imewakatalia goli huko.Nmaoangalia game ya napoli . Huko uwanjani wamechomeka magoli kweli?[emoji38]
Hawafungani
Pyramid hii hapo vyema sana.mkuu gallants away huwa wanapigwa kama ngoma, hao ni newcomer kwenye mashindano ya caf,.....
mechi zao walizocheza na waarabu kwenye makundi walikua wanagongwa 4-1..... sijui pyramids wana shida gani aisee,
Hongera boss[emoji2969][emoji3515][emoji3515]View attachment 2597559
Hao wote motivational speakers. Hawa ndio wanafanya tunapoteza hela. Asilimia 99% ya mikeka juzi jana na leo. Imechanika. Hizo labda wamebet pembeni ila ya humu, imechanika. Tena leo ndio imechanika hovyo hovyo. Slip moja imechana timu tatu au nne.Sema nyie jamaa jau sana mnaonyesha baada ya kumpiga muhindi kwanini hizo code msiwe mnazieka na uku na sie wengine tuwe tunapita nazo??
Huo ndio mzunguko wa pesa mkuu [emoji16]Chote alichonipa Yanga Man U kaondoka nacho
Na zikarudi kasoro 2000 tuHuo ndio mzunguko wa pesa mkuu [emoji16]