Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

share_1682314543157.jpeg

Naomba tuweke sawa panapo shaka kisha tutoe mzigo kabla ya saa 9
 
Sas

NIKUSAIDIE tu ndugu yangu Jambo Jepeesi wala halihitaji akili kubwa.

-
BAYERN Munich kafungwa na kibonde

- WYDAD kashangazwa na Simba

- TOTTENHAM kachakazwaa mnoo

- PYRAMID jana hakuamnini kama Marumo gallant atamuharibia.

- FAR rabbat haikutarajia kama Algers atafanya balaa lile

Na nyingine nyingii tuu

Sasa hizo mechi zimechana 85% ya mikeka over the World.

Mpaka anaejiita NABIII wa MUNGU tens mwenye kuongoza Kanisa hapa Tanzania alibashiri YANGA atafungwa na waumini wake wakamfuata mazima hatimae YANGA kamchapa mtuu,Jpili ataandaaneno jipya la ibada

Mchezo huu hautaki lawama,huwezi kalime.Hii sio ajira
Ukiona mtu katoa mkeka umechanika basi ujue na yeye kapoteza pesa.
We Team ipo Ukraine mtu upo Mbagala,utajuaje matokea eti wakala wa Kanji
Tunakuamini ili kama inawezekana edit au futa hii comment.
Unajua kuchanika mikeka kupo. Ila unapotuma won slip while tunajua slip zimechanika. Unapiga miruzi kwa mbwa na unawapoteza. Bora upigwe utulie. Kuna bwana mmoja akaja ameshinda laki 4 kwa 2500. Kaja katuma slip mbili sportybet. Kaja katuma moja betpawa zote zimechanika, jioni analeta slip ya laki na ishirini. Unategemea leo asifatwe . Kama anachukua mikeka ya magroup anatuma humu iliyoshinda. Code anazoleta zinapigwa.
Ifikie mahali tukubali huku kupigwa kawaida ila sio hivvi.
Jumla ya mikeka 64 nimeweka siku tatu mfululizo imechanika yote. Ijumaa jumamosi na jumapili. Sina wonslip. This shows the reality. Hata mimi nilituma mkeka bayern akachana pekee odd 15. Ila sijaja kuleta nimeshinda niprove watu i am the best. Unapochukua mkeka wa mtu unajua nae anajitahidi kutoka jana mpaka leo. Atakua analeta kitu kizuri.
Wakina msweden uliona mikeka yao.
 
Mdau umepanic

Soma comments Zangu vizuri,na mbaya zaidi unanijibu kwa comment ya mtu mwingine
 
Umeongea ukweli mkuu..pamoja na yote,siku hizi kuna utoto mwingi humu.
 
Mdau umepanic

Soma comments Zangu vizuri,na mbaya zaidi unanijibu kwa comment ya mtu mwingine
Brother...ndani ya hii thread Tunaaminiana na kupendana sana, na lengo kuu KANJI arudi kwao akauze matikiti[emoji15][emoji15]GOoooood [emoji109][emoji109](joke).. BUT..pia hatu-maind hapana
Kinachozingua ni kwamba jamaa katuma codes 5+ [emoji120][emoji120] yote BIG lOSE
Lakn huyohyo jioni anatuletea BIG WON 200k+ [emoji24][emoji24]
Tuelewe nn hapa!!
Ni mtazamo tu lakn
Tusipanic.. tuyajenge
All n' all thanx kwa wote waleta codes na wasife moto tunazitaka sn pesa ko tuvumiliane na lugha ngumu km hz[emoji24][emoji24][emoji109][emoji109]
 
🙏🙏🙏
Umeongeza kikubwa mnoo.

Sure,mtu kutumua post za kuWin huku mkeka akicheza chimbo peke yake au Ku Copy anakojua ni ujinga na Ugonjwa wa Akili.Na sio lengo.

I wish itokee numbers of group members wameshare mkeka na umetoa na Hesabu nzuri.

Kuna Mdau humu nimemshau Jina,alikuwa nafikiria kama milioni mbili,basi aligawa pesa hata Mie alinitumia Buku mbili za mtaji Ili kusport active group members,ni muungwana wa ajabu mnooo

Tuweni wamoja,na tuheshi Codes za kila mtu.

Napenda sana Style ya Mbaga,Mlima Simba,NALIA NGWENA (ila silii Mie)
Hasa Mbaga anaweza kupita na Codes 50 hadi 60 za watu,na hata alipigwa halaumu mtu.

But pesa sio Rahisi kama tunavyotaka,ila nawaambia humu humu Jamii forum kuna mtu atapasua mbaya mnoo.

Kazi iendeleeee
 
Back
Top Bottom