Pole wakuu! Nimeazimia kuanza rasmi kubeti mwaka huu baada ya kumaliza chuo na mambo kuwa magumu hasa kukosa kazi za kufanya mtaani na kama mnavojua sikuhizi ajira zimekuwa ngumu.
Sikuwahi kubeti kwenye maisha yangu ILa nimedhamiria kuanzia sasa naanza rasmi kubeti walau nipate hela ya vocha maana hali ya mtaani sio poa na ukicheki home naonekana mzigo sina msaada wowote.
Bila kupoteza, najua humu kuna wazoefu wa kubeti nami nimeshaanza SASA hivi ila nashindwa kuangalia mkeka nilioubetia maana sina uzoefu na hili masaada wakuu nielekezeni. Natanguliza shukurani.
View attachment 2597988