Tobito
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,308
- 4,165
hakuna mechanism rasmi ya kubet lakin kwa wingi wa matches za siku kupata odds 2 ni rahis.Duuh.. mkuu hii strategy itatumia mechanism gani kufikia lengo..
kwanza lazma ubet match za ligi unayoelewa.
pili uchague options za karibu na uhakika.
tatu usiwe na uchu wa kuongeza ongeza team, ukuwe consistent.
nne usiponzwe na match kufuatana mana unachagua za siku nzima.
nimejarib ilipofika 600k nikatoa mana moyo ulianza kwenda mbio