samarianboy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 299
- 395
Behewa letu linatembea wakamalia[emoji123][emoji898][emoji483]
Yaah leo tunafik Salama
Behewa letu linatembea wakamalia[emoji123][emoji898][emoji483]
******* sana yale nimeyapa double chance hayajatoaHawa wasukuma wa Geita wanarukaruka tu uwanjani.
Oovyoo kabisa!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hi infinix ndo una tumia kunijibu [emoji706][emoji735]️View attachment 2598302
[emoji123][emoji123]Yaah leo tunafik Salama
Sasa mkuu si utupe huo ujuzi wa hisabati? Kama hutatufungua macho na hizo hesabu haina maana kuleta huu ujumbe hapa. Tufundishe namna ya kufanyaNarudia tena kama hujui hisabati achana na mambo ya Betting.. Betting inahitaji uwe na akili ya hisabati ya kiwango cha juu sana.. nje ya hapo ni vipigo kwa kwenda mbele.. .. Narudia tena uwe unajua hisabati sio hesabu..
By the way....Mkeka wa Taifa unaenda murua! KabisaGet ready!.... Kaa mkao wa kuswali!..... Keka la Taifa ! Nalidondosha Soon!💪
HIVI 0:0 INAKUA KUNDI GANI , YES GG/NG au NO GG/NG. NAOMBA MNISAIDIE HAPA
NO GG/NGHIVI 0:0 INAKUA KUNDI GANI , YES GG/NG au NO GG/NG. NAOMBA MNISAIDIE HAPA
GG sawa na both team to score..NG kinyume chakeHIVI 0:0 INAKUA KUNDI GANI , YES GG/NG au NO GG/NG. NAOMBA MNISAIDIE HAPA
Angalia na upepo wa zilizo baki .au cash out io 5000 kulinda mtajiUnaweza kataa cashout ya 5000 KWA tsh 200!? Ama nikaze!? Na mtaji Chenga wazee!
kuna siku nilistake 200, ili nipate 22k, nikakataa cashout ya 9k kwa sababu alibaki orlando pirates alikua anacheza fa na kitimu cha daraja la chini, half time alikua anaongoza 1-0, ule mkeka ulichanika na sikuambulia chochote[emoji23],Unaweza kataa cashout ya 5000 KWA tsh 200!? Ama nikaze!? Na mtaji Chenga wazee!
La lini hli mbona sijaliona humu[emoji123][emoji123]
Zilikua odds ngapi?Treni bado lipo salama wakuu, maombi muhimu [emoji123][emoji123]
Hyo na mm ishatokea sema unajikuta unajipa matumain itawin tu..kuna siku nilistake 200, ili nipate 22k, nikakataa cashout ya 9k kwa sababu alibaki orlando pirates alikua anacheza fa na kitimu cha daraja la chini, half time alikua anaongoza 1-0, ule mkeka ulichanika na sikuambulia chochote[emoji23],
siku nyingine niliweka treni kimasihara, nikajiwekea sh 200 ili nile 300k nikakataa cashout ya 12k kwa sababu alibaki dortmound nilimwomba just a single goal (game ya marudio uefa na chelsea) ......akachana!
nataka kusema hivi, cashout ichukue ukiona inakulipa au hautaumia endapo umechukua cashout ndogo na mkeka hatimae ukatiki............. (jana mikeka 4 ya sportbet niliyosuka yote ilileta cashout na nikakataa, hatimae nimekosa yote)
Treni bado lipo salama wakuu, maombi muhimu [emoji123][emoji123]
86.40 mkuu[emoji123]Zilikua odds ngapi?