Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ULITAKA NITUMIE NINI PUMA WEWE [emoji41]
UNADHANI SIMU YA KIFAHARI NDIYO UMEYAPATIA MAISHA KWELI WEWE NDIYO AFANDE RAMA.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tafuta ichi kitabu kita kusaidia
1875137447.jpg
 
Dah ! Asa itakuwaje mkuu nisaidie kwakweli maana mtaani hali ngumu na ninachokitegemea kunitoa kimaisha ni bet tu uko kote nishakata tamaa
Unategemea betting ikutoe?
Nakuahidi utakuja humu mwakani tarehe kama hii kutoa ushuhuda jinsi Kanjibah alivyokufilisi..
Hela ya muhindi sio ya kuipangia malengo
 
Halo kuna dogo mtaani kwangu kafiwa msiba uko mkoani nauli ya kwenda kwao na kurudi ni Kama laki na nusu alikuja kwangu j moc kuniambia kafiwa Ila Hana nauli nka mwambia dogo mi kwa ss Hali tee yeye akadai anataka 2000 tu itamusadia nkaona isiwe shida nakmpa j2 ananipigia Kisha panda gari kuuliza nauli katoa wapi kasema ile 2000 kabet kapata laki 3 na Wala Hana smartphone katumia cm ndogo Kuna wakati mungu anaweka mkono wake kwenye beting
 
Ha ha ha 🤣
 
Unataka kusemaje mkuu
 
Code humu hatupeqni tena imekuwa nyuzi ya kinazi...vijembe..majivuno.na michambo ajabu hii...alafu humu wengi si wanaume...nilitegemea mambo haya yatokee kwenye nyuzi zinazowahusu mabintu
Leteni code nikojoleshe mhindi arudi kwao kulipa pilipili..acheni ukuda na unaaa
Leteni Codi
 
Halo kuna dogo mtaani kwangu kafiwa msiba uko mkoani nauli ya kwenda kwao na kurudi ni Kama laki na nusu alikuja kwangu j moc kuniambia kafiwa Ila Hana nauli nka mwambia dogo mi kwa ss Hali tee yeye akadai anataka 2000 tu itamusadia nkaona isiwe shida nakmpa j2 ananipigia Kisha panda gari kuuliza nauli katoa wapi kasema ile 2000 kabet kapata laki 3 na Wala Hana smartphone katumia cm ndogo Kuna wakati mungu anaweka mkono wake kwenye beting
DC4EFC28-CA41-47D2-B19D-E8C894B7815E.jpeg
 
Back
Top Bottom