Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UPDATE
utabiri wangu hatimae umefika mwisho siku ya jana

matokeo ni kama ifuatavyo

BETBAWA
Betpawa alitoa hela nyingi kwa wale walofuata treni lililotolewa na mkuu mwenzetu na aliandika hivo katika code zile "ukifuata utajuta na usipofuata utajuta" kama nitakuwa nmenukuu vibaya mtanirekebisha

Treni lile lilikuwa na odds 441.56 na kama sijakosea hilo tren lilitiki siku ya jumanne.

SIFA YA TRENI
Lilikuwa la daraja la direct win,GG na madaraja mengine mazuri kwa wasafiri

SPORTBET
Kunamkuu alitega treni la mechi 30 na lenye odds 209.98.
Hili treni lilianza safari tarehe 22/04 na likafika salama 24/04/2023 usiku

SIFA YA TRENI
Sifa ya hili treni lilikuwa la daraja la over 1.5 na 2.0

Kwanini nmeandika hayaaa?
Lengo si kujionesha ama kujitapa kuwa najua kuotea ama kutabiri ila nilitaka tusipitwe na zile odds nyingi.

AFE KANJI AU NIFE MIMI, NALIA NGWENA tutaisahau siku moja
 
kanjia kaondoka nayo ya usiku si mbaya
1682324587965.png
 
Narudia tena kama hujui hisabati achana na mambo ya Betting.. Betting inahitaji uwe na akili ya hisabati ya kiwango cha juu sana.. nje ya hapo ni vipigo kwa kwenda mbele.. .. Narudia tena uwe unajua hisabati sio hesabu..
 
Huu Uzi Hauna maana Tena ,picha zote hazifunguki ...

Leten link hata wasap tujoin wakuu

Jf naona ni wababaifu saizi ..
inshu sio wababaishi ....attachment zinaweza haribu server zao ....it could be virus ndio maana wanafanya hivyo
 
Narudia tena kama hujui hisabati achana na mambo ya Betting.. Betting inahitaji uwe na akili ya hisabati ya kiwango cha juu sana.. nje ya hapo ni vipigo kwa kwenda mbele.. .. Narudia tena uwe unajua hisabati sio hesabu..
tena za probability
 
naomba aliye serious kubet kibiashara tuanze leo mpango madhubuti wa rollover betting,
hii mbinu ndo ya kukufanya ubet kwa malengo na matumaini makubwa!
kuanza 10k kwa odd 2 tu per day.
akili zikikutana nyingi odds 2 hazikosi kwa siku
1. jtatu 10000 * 2 = 20000
2. jnne 20000 * 2= 40000
3. jtano 40000 *2 =80000
4. alh 80000 *2 =160000
5 ijm 160000 *2 = 320000
6. jmos 320000 * 2 =640000
7. jpili 640000 * 2 = 1280000
8. jtatu 1280000 * 2 =2560000
9. jnne 2560000 * 2 =5120000
10. jtano 5120000 *2 =10240000
11. alh 10240000 *2 =20480000
12. ijm 20480000 *2 =40960000
13. jmosi 40960000 *2 =81920000
14. jpili 81920000 - 10%(tax)= kiwanja, ofisi ya uwakala wa fedha na bmw x3
 
Narudia tena kama hujui hisabati achana na mambo ya Betting.. Betting inahitaji uwe na akili ya hisabati ya kiwango cha juu sana.. nje ya hapo ni vipigo kwa kwenda mbele.. .. Narudia tena uwe unajua hisabati sio hesabu..

Betting ni kubashiri mkuu ata uwe lecture of mathematics vipigo kama kawa tu hainaga mjanja
 
Uwekezaji wa jana na buku! Jero moja mkeka wake umechanika, ulikuwa na odds 10,000+ timu tatu kati ya 15, zilichana tena ambazo huwez kuzifikiria. Nice alichana na Reims n miongoni! Jero la pili Inshallah limenipatia 100,000+ odds 200+ timu sita!
 
Back
Top Bottom