Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20230423-210811.png

Somebody talked about this earlier today.
 
Marumo galant alikuwa na odds 13 wakati pyramids wana 1.22, dk ya 85 sasa marumo wako mbele kwa gol 1 bila, wazee tusiogope odds.
DAh huu mkeka nilikuwa nmeuchanganya na wa yanga. Dah yan imeniuma sana jamaa kupata penat nlikuwa natumia hela nukta kupga hela nyingi.

Asec nao kutoa draw wamezingua.

Nlikuwa nangoja mech ya pyramid imalizke mara wajinga wakapata penat kanji akafunga cashout.

Direct win ikinyooka unatumia hela nukta kupga hela kama mech ya simba
 
Dah sijui wengine tuna mikosi gani ase. Yani man utd kagoma kabisa kutoa over 0.5 na zilibaki mechi nne tu kati ya 60 (borussia Ov 0.5, sevilla Ov 0.5 na lyon Ov 1.5). Safari yangu ya wiki mbili imeisha leo saa 2 usiku. Goodbye my could be mine 935k Tshs.

NB: Treni za over 0.5 + 1.5 zitatutoa toka kwenye trenches wakuu kabla msimu haujaisha.

Ila inauma sana wakuu hata cashout imegoma ase [emoji26]

Usiogope code mkuu
 
Back
Top Bottom