Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1894A97

4932674

37BAF93

3708E53

9E9856C

BF39D25

98BADD

CF13498

NB: TUJARIBU HII OPTION KWA LEO , USIWEKE STAKE NDEFU BADO NAITEST

HALFTIME MULTIGOALS 1-3 , SPORTYBET
Utaratibu uleule lazima kucheza code zote na dau linalofanana au leo ni freedom no any condition?
 
Poleni wakamalia, hii ni Mara ya pili hv vitimu vya Portugal vinatunyima goli moja,

Nextime nitakuwa makini sn na kuachana navyo.

Kesho pia Ni siku wakamalia mapambano yataendelea[emoji123].

Niwatakie usiku mwema [emoji120]
There is no way....inshallah we shall be win japo nimeumia mnoo[emoji33][emoji33][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Utaratibu uleule lazima kucheza code zote na dau linalofanana au leo ni freedom no any condition?
utaratibu ni uleule , hii option ipo kwa baadhi ya match ndio maana timu sio nyingi , ila tutaitumia weekend hua kuna match nyingi.

Lengo ni kupata option ambayo inakua angalau probability ya kuwin ni kubwa
 
Hii team ya Ronaldo jau sana af kila nikiifata na odds zake za mchongo lazima ichane.

ila hii ishu ya kutoleana kauli chafu humu kama watoto wa kike sio dili Bali ni ushamba, hamna mtu aloshikiwa bunduki kufuata code ya mtu humu ndani.
Hujui mtu katumia muda gani na bando lake mpaka kwa roho yake nzuri kuamua kushare mkeka humu ila mwisho wa siku anatolewa kauli chafu za kuvunja moyo.

Betting ni mchezo wa kubahatisha, kama tunavopoteza wote kupitia izo codes ipo siku tutashinda wote kupitia izo codes na ndio siku kanji atarudi kwao kulima pilipili.

Kosa vitu vyote ila kamwe usikose wala kupungukiwa IMANI, kata vitu vyote ila usikate TAMAA.

Tuna vingi vya kujifunza kupitia kwa wenzetu Wanaija.!!

kesho nayo siku wakamaria, tusichoke kujaribu.

((BÉTÍ KÍSTÀÀRÀBÚ))
 
Ronaldo anakamiwa na wachezaji wa timu pinzani ambao wengi ni timu Messi.....
 

Attachments

  • Screenshot_20230424-220735.png
    24.8 KB · Views: 18
Muda wa machaniko ya mikeka! Pakachaaa! 90 minutes......! Fanabahce...

Uzuri ni kwamba nilimpa market tofauti KWA KILA code...kaondoka na mikeka miwili ya visteki vizitoo kwangu...

Code unayoipa stake kubwa inakuangusha mwishoni...ulizozipa mark za chini kidogo...zinatoboa!...
 

Attachments

  • Screenshot_20230424-220805.png
    21.9 KB · Views: 17
Poleni wakamalia, hii ni Mara ya pili hv vitimu vya Portugal vinatunyima goli moja,

Nextime nitakuwa makini sn na kuachana navyo.

Kesho pia Ni siku wakamalia mapambano yataendelea[emoji123].

Niwatakie usiku mwema [emoji120]
Au kuviwekea under 4.5 labda itabifaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…