Makamanda Hatukomi tu.
Utenis Utena - FK Spyris Kaunas Y odd 1.59
SK Slavia Prague v MFK Ruzomberok Slavia win normal odd 1.45
Portugal v Iceland Portg win normal odd 1.45
STAKE 30000
Return 99000.
Mashindano makubwa haya mkuu hakuna timu ya kubeza, watu wanapigania utaifa so ni kufa au kupona.Historian kwenye mpira Kwa sasa sio issue angalia alichofanyiwa Brazil,then fatilia kufuzu kwao kwenye makund utaona nan yuko vzr Kwa sasa.
Portugal 28+
Okey..ngoja niwape 2+ maana Euro ya mwaka huu hakuna kibonde...Italy vs Belg ilikuwa imechangamka kweli kweli lakini 2+ yenyewe ilitokea kibahati
Mmmh, Chief ningekuwa ni mm nisingeweka hiyo option kwa mechi ya Portugal vs Iceland. Hii game nafikiri ndio itakuwa na magoli mengi kuliko game zote zilizoshachezwa. Hii game ni 3+ ...
Nimempa 1X mikeka yangu yote akiharibu tu anashuka daraja mshenzi huyu...Harras El hadood win 4.10
Au H2+ 4.20
Sasa unaweza kuagiza hata bapa na sio kasichana tena maana hali inatia matumaini.Chief tupo pamoja hapo kwa Utenis Utena ... tutasaidiana kubinyaa ... hahahahaha
Sasa unaweza kuagiza hata bapa na sio kasichana tena maana hali inatia matumaini.
Hehehe...hongera sana.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ... Mpunga kibindoni. Bet Won !!
Bet wonAustria 28+
Hungary
Odds chache isiwe kigezo cha kutoa ushindi
HTH inafaa sana
Bado tuko pa1Austria 28+
Guangzhou win
Portugal win
Chile win
Argentina i1-2
Angola i1-2
Aswan i1-2
Joinville 28+