Asante mkuuHakuna kazi ngumu kama ku-edit betpawa hasa liwe train la timu nyingi maana betpawa ukifungua page wakati unashusha mkeka ukirudi kuchagua timu nyingine inaanza mwanzo.
Anyway kama timu ni chache ziandike pembeni na ligi / nchi husika alafu unakwenda kule unazitafuta kwa nchi alafu una-edit. Kama ni direct (normal) yaani WIN DRAW WIN ni simple tu, ukishaicopy code unakwenda kwenye "income game" unakua una scroli unakuwa unaziona zikiwa na zimepigwa tick ya kijani.
Iyo nme screenshot afu nka cropMkuu ukitaka kuikuza picha ijae page nzima kama Yako hapo juu nafanyaje!?
Leta code mkuu ..nipo naandaa keka la familia apa, option ni double chance mechi 10, over 1.5 mechi 10, bookings mechi 5 na corners mechi 5.
inyeshe mvua, jua liwake kesho lazima kanji arudi kwao kulima pilipili.
Stay tuned.!
Sawa mkuuuIyo nme screenshot afu nka crop
0717561222
Mkuu mtumie Romano1xcash, hakika hutojutia huduma yake
Madrid na slavia......nipeni maua yanguu!👇
Mwamba hx mikeka mbna siioni uliituma kweliMadrid na slavia......nipeni maua yanguu!👇