Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

bigboi mkuu usitususe

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787] Machondela mnafiki sana wewe. Kilasiku humu umekuwa kiongozi mkuu wa kumpiga vita bigboi na kumuongelea mbovu kuhusu code zake. Leo hii wakusema eti usitususe?? Upinde wewe kweli hufai hata kulumagia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23].


Oi mwamba bigboi tena rudisha ile system ya kutuma win tupu kama ulivyokuwa unafanya mpaka wanalialia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], akina Machondela hawa ni wakuda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…