othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Namuona haaland alivyoikamia hii game leo ni mvua! Ya magoli..Sawa mkuu
Huu wa leo game zote tano zitatick 🤞
City pia atatoa goli tatu
Wakamalia mmeshindaje Leo humu, dar Leo harakati zilikuwa nyingi sn sikupata muda wa kuja kuwasabahi humu.
Sio issue sn kesho nitakuja na kitu humu Cha ukweli tuendelee kumsaka kanj .
Leo nilisuka tu katreni kangu ka dar Moro lkn bahati mbaya sikuja kukashare humu na ninakaribia kufika Moro.
Sema nn sio issue sn wakamalia kesho tupo pamoja[emoji123][emoji123][emoji483][emoji898]
Usiposhare yanafikaa mkuu...[emoji1787][emoji1787]Wakamalia mmeshindaje Leo humu, dar Leo harakati zilikuwa nyingi sn sikupata muda wa kuja kuwasabahi humu.
Sio issue sn kesho nitakuja na kitu humu Cha ukweli tuendelee kumsaka kanj .
Leo nilisuka tu katreni kangu ka dar Moro lkn bahati mbaya sikuja kukashare humu na ninakaribia kufika Moro.
Sema nn sio issue sn wakamalia kesho tupo pamoja[emoji123][emoji123][emoji483][emoji898]
Namuona haaland alivyoikamia hii game leo ni mvua! Ya magoli..
First half over 1.5 ama over 2....dadadek! usiogope odds
Baada ya kutulia niliiedit hiyo code...nikaitoa hiyo gaborone, but imechana mother code kama 3 .....code mpya nilizoichomoamo still ziko live...sikumbuki kama niliileta edited code tena humu...ufinyu wa mudaGaborone mbotswana kachana mikeka. Labda kama umeedit tu. Nimewapa matokeo ya timu ambayo haijatoa matokeo.
🤒 viseversa is truCorrect score
City 3- 0 gunners
Weka hata ada na kodi lala
🤣🤣Umerudi kundini mkuu.....chini ya kanji kila goti litapigwaIv jaman kampun gan inaruhusu kuweka zaid ya 1m? Maana naona sportpesa mwisho laki 5
Niliacha kubet ila now nataka niwe najilipua kama hii game ya city niweke 5m iv najua city atashinda
Kanji hasalitiwi, karibu tena.Iv jaman kampun gan inaruhusu kuweka zaid ya 1m? Maana naona sportpesa mwisho laki 5
Niliacha kubet ila now nataka niwe najilipua kama hii game ya city niweke 5m iv najua city atashinda
1xbet but inadepend na marketIv jaman kampun gan inaruhusu kuweka zaid ya 1m? Maana naona sportpesa mwisho laki 5
Niliacha kubet ila now nataka niwe najilipua kama hii game ya city niweke 5m iv najua city atashinda
Wakamalia mmeshindaje Leo humu, dar Leo harakati zilikuwa nyingi sn sikupata muda wa kuja kuwasabahi humu.
Sio issue sn kesho nitakuja na kitu humu Cha ukweli tuendelee kumsaka kanj .
Leo nilisuka tu katreni kangu ka dar Moro lkn bahati mbaya sikuja kukashare humu na ninakaribia kufika Moro.
Sema nn sio issue sn wakamalia kesho tupo pamoja[emoji123][emoji123][emoji483][emoji898]
Mimi nazuia magoli
So far kitimu kimoja kimechana odds zaidi ya 8000Jana niliaidi kuleta keka la Familia nalo ni hili apa..
9162393 | Sporty Bet
Tusichoke kujaribu, leo lazima kanji arudi kwao kulima pilipili.
Chukua Hela hiyoROLLOVER YETU DAY 1
IMEBAKI MATCH YA SAA NANEView attachment 2600694
Kafanyaje!?Joanna ni hatariii uishi sanaa