Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mmeamkaje wakamalia, hope mpo vizuri [emoji123].

Ok ile vita yetu na kanj Leo ndio inaanza ramsi kanj arudi kwao rasmi.

Code hii hapa.9850778.betpawa.

Code hii ukistake kuanzia elfu5 kanji anatema Tsh.14,684,423,

Tukipatikana wakamalia 20 wa kustake elfu5 jumla kanj atatema Tsh.293,688,460.[emoji123]

Hapa najua betpawa lazima wata Ni mind na kunipiga ban kwa nn nimetoa huu mchongo.

Lkn potelea pote mm akinipiga ban nitahamia kampuni nyingine lkn wkt huo baadhi ya wakamalia maisha yao yataanza kuwa kwenye ramani na ndoa zao zitaanza kurudi kwenye ramani.

Twenzetu Sasa wakamalia[emoji123][emoji123][emoji898][emoji483]
 
Safi, ndo michezo yangu.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Sorry boss, kwa nini wakupige ban!?? Kwani hii code ushindi ni lazima!??
 
Chupa limeamka na chai au sio!? Code 1 Boooom 💥🏀,


Code ya pili odds 6.5...ya players assists... Lebron kaniangusha asissst Moja tu... Kazidiwa hata na julias randle!? Na Mnyama wa assist na rebounds.... bam adebayo
Mwamba uko vzr sana kwenye basketball 🏀 hasa code zako za usiku sana zinatoaga sana nimeifata code jana na imetoa tupo pamoja endelea kudondosha code tupo pamoja
 

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimefurah mno japo mm nimejitoa ila nawaombea nitafurahi kuona kanji kalizwa [emoji16]
 
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Bro licha ya kutupia code, unanipa matumaini kibao na lugha ya kibingwa ingawa kanji ananilaza mzungu wa 4 na wifeee.. [emoji1787][emoji1787]
Nakufuata jumla jumla, viatu nimevua, Sweta na kofia nimeshika mkononi naanza kumkimbiza kanji kuanzia NOW... [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…