Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

"Medical team to enter the pitch" ... Pick "Yes"

Hii option inatoa sana na inapatikana 1xbet na helabet. Chagua mechi ambazo ni 50 kwa 50 ambazo zina migongano mingi. Usichukue mechi ya upande mmoja kama jana City na Leeds hakuna daktari alieingia uwanjani kutibu. Leo mechi za ufaransa zote zimetoa hiyo option.
 
Nimejikuta nacheka tu mkuu, kweli Kuna watu mmeamua kupambana na kanji😃😃
 
Basel unampa dhamana apate gori moja ila yy anaamua akuletee zawadi wa red cards tatu kudadadeki
 
Basel unampa dhamana apate gori moja ila yy anaamua akuletee zawadi wa red cards tatu kudadadeki
wangese hao niliwaomba goli pia wameharibu mkeka wangu, zingine zilitik,

mkeka wa mwisho mchawi napoli na pimbi mwenzake, nimewaomba over 1.5 naona wanakata mauno tu...
 
lyon na monte wanacheza basket naona, half time 1-4, saizi naangalia 4-4......
dormound nae alituchania mikeka game iliyopita, leo tunamkwepa anashusha lipigo heavy,
alafu nimeshangaa mpk dk ya 60 katoa kona 12 aisee
 
wangese hao niliwaomba goli pia wameharibu mkeka wangu, zingine zilitik,

mkeka wa mwisho mchawi napoli na pimbi mwenzake, nimewaomba over 1.5 naona wanakata mauno tu...
Kuna kajamaa huwa kananiona nabet sana kakaniforce nimdownloadie na kumuunga app ya betpawa(hata kujisajili kalishindwa🤣)
Sasa yeye mtindo wake kanabonyeza bonyeza direct win tu hajuagi market nyingine, kanachukua odd za 1.50 mpaka 2.00, chini na juu ya hapo hakachukui
Leo kametengeneza slip nne zote zimetick kila slip 100k
Mimi mwalimu mtu slip zote chali🤣🤣🤣🤣
Kipo ninanicheka ovyo hapa natamani nikirukie vichwa🤣
 
Huku kujifanya mchambuzi sana ndo ustake sometime ni usenge wa kupoteza bundle tu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…