stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Na huyo arsenal wachambuzi uchwara waliomuogopa naona anashindalyon na monte wanacheza basket naona, half time 1-4, saizi naangalia 4-4......
dormound nae alituchania mikeka game iliyopita, leo tunamkwepa anashusha lipigo heavy,
alafu nimeshangaa mpk dk ya 60 katoa kona 12 aisee
[emoji16]Newcastle win or draw ,
Man united win or draw
But odds ndogo sana atleast odd ingeanzia 1.30 mpaka 1.50"Medical team to enter the pitch" ... Pick "Yes"
Hii option inatoa sana na inapatikana 1xbet na helabet. Chagua mechi ambazo ni 50 kwa 50 ambazo zina migongano mingi. Usichukue mechi ya upande mmoja kama jana City na Leeds hakuna daktari alieingia uwanjani kutibu. Leo mechi za ufaransa zote zimetoa hiyo option. View attachment 2613556
M1B36 - Helabet
nyau hao wameninyima pesa, yan hao na napoli wauaji kabisa..... mikeka yote miwili alibaki man u kona 8 (ambazo nina uhakika anatoa kiroho safi),Fenebache
Manchester anaweza kuwa mchawi ila ngoja uone hadi mwisho itakuwaje.Mniombee jamani View attachment 2613804
Nime CASHOUT NIMEPATA 103,000/=Manchester anaweza kuwa mchawi ila ngoja uone hadi mwisho itakuwaje.
Mara zimetiki😃😃Ilikua 260k na chenchi zake nili CASHOUT mapema nikapata 103kView attachment 2613826
Bora kapata hiyo kuliko angeishi kwa wasiwasi.Mara zimetiki😃😃
Haka kaoption huwa unakapenda sana mkuu. Niliona pia kwa man city na arsenal ulikacheza
Man u alikua anakuingiza chooni bora umechukua faidaIlikua 260k na chenchi zake nili CASHOUT mapema nikapata 103kView attachment 2613826