Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jana nimeumia sana,
mikeka 4 yote imechana timu moja mojq kila mkeka......
ipswich, basel, fenerbache, napoli.......
acha kanji aendelee kujivuna
 
NILIWAAMBIA LENGO LANGU ODDS KUBWA TUSHINDE HELA NYINGI KWA KUWEKA HELA KIDOGO MKAANZA KUNIPONDA
WEEKEND BOOM
View attachment 2614104
View attachment 2614106
View attachment 2614107
Naona bigboi kaja kumotivate misukule yake ianze tena kuweka mia mia ... hiyo mikeka ni kwamba hamna mtu aliyeshinda zaidi yake😂😂😂😂😂. Na alituma humu... jamaa code zake kitambo kidogo zilikua walau unaambulia saiv kawa hana upepo wa kubonyeza bonyeza labda uwe umerudi. Code kwa siku 28 zote lost.
 
mkuu mnatuharibia na comments zenu hizo mie code za bigboi huwa naedit nyingine..kwani yy ni binadamu hukosea pia...Wacha atume tu hizo codes..kwani tukiliwa si tunaweka hela zetu,kwani unaliwa wewe??
 
Mkuu wengine hawataki kujichosha

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
3CE6A5C sweet newly updated 10 odds, niliitengeneza hii code usiku, Ili nii stake leo naangalia, waliondoa game mbili...nimeongeza game ya everton
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…