sijajua kiongozi kwasababu nilirudiarudia kuweka prediction ya pawa6 zaidi ya mara 2 japo nakumbuka kabisa game ya lens v marseille (2-1) na w.bremen v bayern (1-2) nimetusua prediction....kwa game nyingine sikumbuki exactly magoli nilichezaje...kwahiyo so far nauhakika na points 10........by the way nimara yangu ya pili kucheza pawa6 nanimehamasika baada ya last round kushinda buku 5Umapata point ngapi weekend hii
Results zimeshawekwa nenda kaangaliesijajua kiongozi kwasababu nilirudiarudia kuweka prediction ya pawa6 zaidi ya mara 2 japo nakumbuka kabisa game ya lens v marseille (2-1) na w.bremen v bayern (1-2) nimetusua prediction....kwa game nyingine sikumbuki exactly magoli nilichezaje...kwahiyo so far nauhakika na points 10........by the way nimara yangu ya pili kucheza pawa6 nanimehamasika baada ya last round kushinda buku 5
Hahahahhahaaaaaa mi naufataaa🤣🤣🤣🤣A9D9335 | SportyBet
Ukiufata utajuta na usipoufata pia utajuta 🔞
Mie nimeambulia 11. Kwani umeshika nafasi ya ngapi? hata mia hupati maana mshindi wa 1001 mpaka 5,000 analamba buku kila moja, na mie nina pointi 11 nipo juu yako nimeshika nafasi 12181 mbali kabisa ya top 5000 (hatuambui kitu hapa)Nina point nane weekend hii
Hapa hata buku siambulii😃
Mkuu hauna tofauti na Mimi.. sportpesa ndio kampuni ilinipa pesa nyingi sana kipindi naitumia.. tangu nimewasaliti nimekuwa nachezea vichapo sio vya nchi hii. Saahz nimekuwa mdangaji tu wa makampuni, Leo kwa meridian, kesho sportybet, kesho kutwa betway, mara betika ... Huko kote ni vifinyo tu hadi namkumbuka Ex wangu SPORTPESAKipindi nabeti sportpesa direct win nilikua nampasua sana kanji hadi siku nilipostake 500k nikaliwa nikaamua kuhama na kuapa kutotumia tena iyo kampuni.
Mungu aulaani mzimu ulionileta SportyBet, ikitokea nimekula basi ni kwa tabu sana.
Sijui nafail wapi na timu ni zilezile
Nipo nafasi sijui ya elfu ishirini na ngapi huko🤣Mie nimeambulia 11. Kwani umeshika nafasi ya ngapi? hata mia hupati maana mshindi wa 1001 mpaka 5,000 analamba buku kila moja, na mie nina pointi 11 nipo juu yako nimeshika nafasi 12181 mbali kabisa ya top 5000 (hatuambui kitu hapa)
Dahhh..nilimdhamini Brighton ila hawa jamaa wa Everton leo wako kazini. Brighton wamerelax kiaina.Brighton kayakanyaga huko..
Kaingia jeshini halafu ye ni Kuruti..
Hakuna afanyacho Anapigwa vifuti..
alikwepa ya chembe sasa anavunjwa uti..
Kilimbatzz Mbaga Jr
Doucouré anatembea viwiko tu.. hadi kuku jike atawika kokolikoDahhh..nilimdhamini Brighton ila hawa jamaa wa Everton leo wako kazini. Brighton wamerelax kiaina.
💪💪💪💪💪💪💪💪Doucouré anatembea viwiko tu.. hadi kuku jike atawika kokoliko
💪💪💪💪💪💪💪Brighton kayakanyaga huko..
Kaingia jeshini halafu ye ni Kuruti..
Kazungukiwa kwa nyuma Anapigwa vifuti..
alikwepa ya chembe sasa anavunjwa uti..
Kilimbatzz Mbaga Jr
Everton wamepiga ball.. nadhani wamepaka miguu yao vumbi la kongo.Doucouré anatembea viwiko tu.. hadi kuku jike atawika kokoliko
Hiyo ni ngumu mzee mpaka urenew laini au ufungue account mpyaHabari zenu wakuu..!
Nahitaji msaada wa mawazo hapa, account yangu ya sportybet nilikuwa nimesajilia namba ambayo kwa sasa imefungiwa na siitumii tena
Sasa nahitaji msaada wa kubadirisha namba kutoka ile ya zamani na kwenda namba ingine, je natakiwa nifanye nini ili nifanikiwe