Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu wazee tusiogope makokoro, tuwe tunajaribu mara moja moja huwa yanatoboa:
1683608271547.png
 
Kitu .... moto ...kazi ya kufanya positive edit ni juu yako hapa inatakiwa utengeneze mikeka mingine kama nne hivi ambayo ni positive edit ya huu mkeka ili kujiakikishia ushindi wa mipesa vinginevyo utaishia kulia lia tu kama mbuzi ....ndani ya huu mkeka kuna mechi moja ya kona kwa wale wa mzigo mkubwa wanaweza kuifanyia kazi waweke hata kona 7 au 8 mimi nimeweka 6

D63BA77D
share_1683609921250.jpg
 
D63BA77DView attachment 2615262
Kwenye hii mechi ya Madrid/ Manchester city corners vinaweza kufika 6.5.....7.5.....8.5 kwa wale wa mzigo mkubwa kazi kwenu kutengeneza hata odds 2.5 kwa kuhusisha hii mechi
Screenshot_20230509-083642_SportyBet.jpg
 
Leo nataka nijilipue nampa city direct win natia mzigo, wataalam imekaaje hii
 
Back
Top Bottom