Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hauna tofauti na Mimi.. sportpesa ndio kampuni ilinipa pesa nyingi sana kipindi naitumia.. tangu nimewasaliti nimekuwa nachezea vichapo sio vya nchi hii. Saahz nimekuwa mdangaji tu wa makampuni, Leo kwa meridian, kesho sportybet, kesho kutwa betway, mara betika ... Huko kote ni vifinyo tu hadi namkumbuka Ex wangu SPORTPESA

I hope nitamrudia maana Dunia imenifunza kuwa tamaa sio nzuri. Nilipata Kila kitu kwa sportpesa lakini nikataka vingi zaidi vya nje nikamsaliti. Naapa kutulia nikirudi kwake..

DEAR SPORTPESA...
Aisew Kuna jamaa yangu mmoja nae anatumia Sportpesa yeye anacheza option ya over 1.5 first half game chache mzigo wa maana na anapiga hela kila kukicha.

Mimi nimepiga sana hela na SportPesa kwa stakes za 200k games mbili kila siku za direct win nilikuwa na uhakika wa kulala na 300k kila siku kama profit.

Nimewahi kumpiga pia kwenye jackpot way back 2019 nilipatiaga mechi 11 kati ya 13 nikalamba bonus ya 3.9m.

Ila nikikumbuka laki 5 yangu ilivyoliwa na Chelsea apo Sportpesa nakosa ugwadu wa kurudi ila yakinishinda itabidi nirudishe Mpira kwa kipa maana uko ndo nilijifunzia kubeti niache kudanga.

Uzuri ex hatongozwi, see you soon sport pesa.
 
[emoji23]
Screenshot_20230508-221626.jpg
 
Wakuu 1x kuna options nmeichez kweny mkek wa kwanz umechanika na nishaufuta najarib kuirudia kweny mkek mpya naambiw nmesha ichez hio gemu wakuu kwa mweny anaefahamu msaada
 
Wakuu 1x kuna options nmeichez kweny mkek wa kwanz umechanika na nishaufuta najarib kuirudia kweny mkek mpya naambiw nmesha ichez hio gemu wakuu kwa mweny anaefahamu msaada
Yes kuna mechi hawaruhusu kucheza mara 2 , sabb inawezekana hiyo mechi watu wengi wameicheza kwahiyo mrusi anaogopa kupigwa kwa kupangiwa matokeo
 
Porto
Uratu
Qalabak

Wakuu kesho weka mzg wape hao ni uhakika 100% watashinda nenda na direct win

Mnaikumbuka hii? Now nimeshtuka timu kubwa nayoiamin ni Man city tu
Kuna vitimu nishavigundua vya huko ligi ndogo dogo ni vitem kama man ciy ilivyo huku

Ukiona Qalabak/Pyrunk/Uratu hizo zipe direct zinashinda bila swali
 
Mkuu hauna tofauti na Mimi.. sportpesa ndio kampuni ilinipa pesa nyingi sana kipindi naitumia.. tangu nimewasaliti nimekuwa nachezea vichapo sio vya nchi hii. Saahz nimekuwa mdangaji tu wa makampuni, Leo kwa meridian, kesho sportybet, kesho kutwa betway, mara betika ... Huko kote ni vifinyo tu hadi namkumbuka Ex wangu SPORTPESA

I hope nitamrudia maana Dunia imenifunza kuwa tamaa sio nzuri. Nilipata Kila kitu kwa sportpesa lakini nikataka vingi zaidi vya nje nikamsaliti. Naapa kutulia nikirudi kwake..

DEAR SPORTPESA...
Hahaha hivi vitu kama utani lakini kusema kweli jinsi website ya kampuni ilivyokaa inahamasisha ushindi. Kwangu web bora tatu ni pawabet; sportspesa; na premier
 
Back
Top Bottom