Either juma nne au j5Wale wa betpawa hivi prize kwa washindi wa pawa6 huwa wanatoa siku ya j3 au j4?
Mwongeze Chelseayah mkuu...unajua namna wanavyocheza Man City na Arsenal wakianza mpira ni lazma warudishe kwa kipa...chunguza hiyoo kaka!! So walivyokutana wenyewe siku ile nikajua yoyote atakayeanza lazma arudishe kwa kipa...nikajilipua
Wakuu hatuwez pata li tren la leo ad league zinaisha maana sitaki kuamini leagues zinaisha patupu
ok poa chief nimekupataEither juma nne au j5
Umapata point ngapi weekend hiiWale wa betpawa hivi prize kwa washindi wa pawa6 huwa wanatoa siku ya j3 au j4?
Tengeneza wewe ulete code number,,,,,,,,tuko macho tuanisubiria[emoji1321][emoji1321]
Mbona hamna betslip , zinaonesha zote zishatumika.DF3DCDD betpawa odds 20 tu
Mi ni hivyohivyo betpawa kampuni yangu ya kwanza, nilikuwa na upepo saanaKipindi nabeti sportpesa direct win nilikua nampasua sana kanji hadi siku nilipostake 500k nikaliwa nikaamua kuhama na kuapa kutotumia tena iyo kampuni.
Mungu aulaani mzimu ulionileta SportyBet, ikitokea nimekula basi ni kwa tabu sana.
Sijui nafail wapi na timu ni zilezile
Nina point nane weekend hiiUmapata point ngapi weekend hii