Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sorry nazani umeweka direct win ila hapa best option ni 0.5 over au 1.5 over ac milan hajawai mfunga huyo jamaa nyumbani kwao
Kweli kbs man...ni sawa na watu waliokuwa wanambetia lazio jana...nilikuwa nawashangaa....kwani lazio jana wakati hana history ya kushinda KWA yule jamaa

... history ....Maji hayaachi njia yake ya asili hata uyazibie ukuta! Yanapita mulemule!
 
Msaada jamani mbona SPORTYBET kwangu haifunguki, na mwanzo nilihic lbd MB but zipo
 
Kweli kbs man...ni sawa na watu waliokuwa wanambetia lazio jana...nilikuwa nawashangaa....kwani lazio jana wakati hana history ya kushinda KWA yule jamaa

... history ....Maji hayaachi njia yake ya asili hata uyazibie ukuta! Yanapita mulemule!
True na mechi zisizo eleweka option ya uhakika ni over na under watu wanakimbilia odds kubwa ambazo hazina uhakika sana japo zikitiki unapiga ila bora mdogo mdogo ya uhakika zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…