Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

77CCFB2 .....SPORTYBET....nimekunyambulia Visu!...50...Edit the code...ukipenda gawa code unavyoweza....

Ni muda wangu sasa kufanya final edit kuilainisha code with the smooth markets......kupata ile cream ya odds 10 kumi safe...kutoka kwenye hiyo code hapo juu
 
😂 ila kuna baadhi ya match yan dk 54 tisa bila,
Screenshot_20230513-123125_SportyBet.jpg
 
77CCFB2 .....SPORTYBET....nimekunyambulia Visu!...50...Edit the code...ukipenda gawa code unavyoweza....

Ni muda wangu sasa kufanya final edit kuilainisha code with the smooth markets......kupata ile cream ya odds 10 kumi safe...kutoka kwenye hiyo code hapo juu
Nimeilainisha kidogo na kupunguza game kama 6 hivi na kuachia gape la massaa mawili Cashout kuwa free....3487F41
 
Mkuu kwa jinsi mawazo yangu yalivyo ningeweka kwa wakina leeds mechi nzima over 1.5, harafu chelsea hapo nikawatoa, Wakina Man u ningewapa 1x, Yanga ipo sawa, Waydad mechi nzima 4.5 under, ila siku huwa hazifanani😁
odd ya bure leo niya chelsea, niliangalia ile game ya nottingham forest vs southampton(4-2)...licha ya ushindi lakini walikuwa wako poor xana.....leo chelsea atashinda zaidi ya goli 2 niamini mimi
 
Back
Top Bottom