Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Kila la kheriNamba mamelodi mazima odds 4.20 Newcastle asije akanilaza unono
Kila la kheriNamba mamelodi mazima odds 4.20 Newcastle asije akanilaza unono
Ongeza dau weka x2Mwenye ushauri mechi ya Newcastle nataka niweke 50000 inakuja 85000 mwenye lolote kabla sijapasuka mwenzenu..nasubiria maoni ..naweka mechi moja..
Kubeti noma wazee kanji anakula Hadi hela ya Kula...
Beti kistarabu
2x amepewa odds 1.23Ongeza dau weka x2
Nimetoa tu angalizo maana kuna rafiki yangu nimeona kapost kua kaliwa hela yote ajui atakula nn nikashangaa sanaUnabet hela ya kula ili iweje?
Bet hela ambayo sio ya matumizi ya muhimu kiasi kwamba ukipigwa maisha mengine yaendelee.
Unabet hela ya kununulia dawa,ukifa?
GG.. hua naogopa Sana hiyo options hua natumia over 1.5 kama mbadala wakeLeo Kuna timu 78 Kati ya 623 zitatoa GG
Kuzijua Sasa!!
79B30F9Mwenye tren la over 0.5 mwisho over 1.5
Sportbet atume bas
Ule mchezo ukiwa na timing nzuri na mtaji mzuri hukosi Hela kwa kweliHumu ndani kuna anae cheza ile kitu ya AVIATOR?
Naona ule mchezo ukiwa na mtaji na ukaacha tamaa kuna hela unaweza tengeneza.
Nataka niwek elfu kumi ushauri wenu plz