NalisubiriAndaa Tshiling 500
Nasuka litreni kuanzia kesho mpaka Monday Asubuhi
Naliset Saa sita usiku
NalisubiriAndaa Tshiling 500
Nasuka litreni kuanzia kesho mpaka Monday Asubuhi
Naliset Saa sita usiku
Siitumii tena iyo account 😂Sasa siku ukijiloga kudeposit wanakufyeka😆
Wakamalia tumezisha tamaa sana ya hela ya kanjii.. Tuchukue Odds chache zenye low riskMikeka inachanika mno kipindi hichi , sijui shida iko wapi [emoji1787]
Agent kivipi wakati Kila siku NALIA NGWENA ..Aaah wapi, we ni Agent tu wa hiyo kampuni labda
umeweka options gn mkuu huo uliokulaNina mkosi na paporimatch sijawahaa kula kule hata kwa bahat mbaya
Ila nikirud sportpesa nakula
Leo nimeweka mkeka mwepesi papprimatch na mgumuwa kubahatisha sportpesa
Nashangaa wa sportpesa umetik then wa aaparimatch umechanwa na esperance ameshindwa kupata goli hata moja [emoji23]
Mkuu hii kazi ya mwisho wa msimu tunayofanya sasa hivi sio BETTING bali ni BAHATI NA SIBU kama ile ya TATU MZUKA! Hali mbaya!Nina mkosi na paporimatch sijawahaa kula kule hata kwa bahat mbaya
Ila nikirud sportpesa nakula
Leo nimeweka mkeka mwepesi papprimatch na mgumuwa kubahatisha sportpesa
Nashangaa wa sportpesa umetik then wa aaparimatch umechanwa na esperance ameshindwa kupata goli hata moja [emoji23]
umeweka options gn mkuu huo uliokula
Lile tetemeko la ardhi ndugu , liliwaletea maafa hizo team , so management waka decide thatNdugu wazee, wakati nikipitia ligi ya Uturuki kutafuta timu za kesho baada ya kulizwa wiki nzima na Kanji, nimekutana na hii scenario. Hii ina maana gani? Yaani timu za mwisho haziwezi kushuka daraja lakini za juu ndio zinashuka?🙄🙄🙄
View attachment 2619682
Jibu mubashara kabisa 😁😁😁