Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ubabe ni mwingi sana
Screenshot_20230511-235243_SportyBet.jpg
 
Mkuu hauna tofauti na Mimi.. sportpesa ndio kampuni ilinipa pesa nyingi sana kipindi naitumia.. tangu nimewasaliti nimekuwa nachezea vichapo sio vya nchi hii. Saahz nimekuwa mdangaji tu wa makampuni, Leo kwa meridian, kesho sportybet, kesho kutwa betway, mara betika ... Huko kote ni vifinyo tu hadi namkumbuka Ex wangu SPORTPESA

I hope nitamrudia maana Dunia imenifunza kuwa tamaa sio nzuri. Nilipata Kila kitu kwa sportpesa lakini nikataka vingi zaidi vya nje nikamsaliti. Naapa kutulia nikirudi kwake..

DEAR SPORTPESA...
Aaah wapi, we ni Agent tu wa hiyo kampuni labda
 
Tujaribu kupunguza kuwa local saana......mambo ya kanji ni wayback huko...

Kwa sasa majority ya makampuni ya Betting ni almost wazungu....na baadhi ya watanzania kwa kufanya joint venture...

Msikariri kanji kanji kilasiku! Jukwaa limakuwa Too local!
Kila siku mhindi mhindi,wakati warusi ,waingereza,mpaka wasafi wapo
 
Back
Top Bottom