both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 988
- 1,882
ndo bingwa huyu wa UEFA mwaka huu..anaupiga mwingi mno.Wazee Mpira unaopigwa na Intermilan ni hatariii[emoji91][emoji91][emoji91]
ndo bingwa huyu wa UEFA mwaka huu..anaupiga mwingi mno.Wazee Mpira unaopigwa na Intermilan ni hatariii[emoji91][emoji91][emoji91]
Mshkaji wangu...View attachment 2617190
Ngoja tuombe wapate penaltyAc milan wanataka niua kwa presure hii hela nimewka najiamin ndo maana nimeweka nyingi [emoji27]
GG uliweka?Ac milan wanataka niua kwa presure hii hela nimewka najiamin ndo maana nimeweka nyingi [emoji27]
GG imegoma leoGG uliweka?
GG uliweka?
Tamaa mbaya by Twenty percent..Yea nimecheza live match baada ya kuona inter ana 2 nkajua milan hatakufa kizembe [emoji23]
Mimi nimeeka 1400 napima upepoIpo siku utaniomba namba ili unipe ya pongezi
Tupia codeMimi nimeeka 1400 napima upepo
Inter mwenyewe hapo ni home 😆Leo nimecheza live game
Ac milan keshapigwa 2-0 na yupo home so nahisi atajitutumua apate goli
Nimeweka jiwe refu kwa mechi kuisha gg
Mniombee maana hela ikiliwa hii ntaumia [emoji23][emoji23][emoji23]