Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jiunge humu ukishajiunga, usitume treni humo humo tuma odds mbili Hadi 4 Tu, ukishajoin usitegemee admin Tu yeye atalusha mkeka mmoja wa odds mbili kila siku. Usitegemee yeye Tu maana yeye ana msingi WA hafutatu.

Usilushe treni humo NI kuanzia odds 2 Hadi 4 Tu.
 
Na NI group jipya so usishangae kukuta wawili
 
Nimeunda group la odds mbili kwasababu nimeona Nina upepo nazo nataka na wale wenye upepo nazo pia, ili tumchape kanji mdomdoView attachment 2616994
Screenshot_2023-05-10-19-16-21-915_com.android.chrome.jpg

View attachment 2616996
 
Leo nimecheza live game
Ac milan keshapigwa 2-0 na yupo home so nahisi atajitutumua apate goli
Nimeweka jiwe refu kwa mechi kuisha gg
Mniombee maana hela ikiliwa hii ntaumia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenyw nimewapa GG ngoja Ac milan aokoe jahaz
 
Ac milan hapigi mashuti sjui magoli atapataje kwa mwendo huu
Screenshot_20230510-224439.jpg
 
Back
Top Bottom