Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna watu hawana bahati😂😂😂
Screenshot_20230510-081622.png
 
Wakuu, hv kuna mtu amefanikiwa kutoa Pesa Helabet kuanzia jana?? Hawa wangese wameanza Michezo ya kitapeli kama 22bet kipindi kileee! sasa hv nishastuka ukiona kampuni lolote Bongo limefanana na 1xbet halafu kudeposit na kuwithdraw ni kwa Mobile payments jua tu ipo Siku Watakuliza watakimbia na Pesa zako! Bora Uhangaike na mawakala wa 1xbet Kuliko Hao waS£nge
Nawazaga sana hv betpawa nikimpuna million50 nitaipataje,
 
Nawazaga sana hv betpawa nikimpuna million50 nitaipataje,
Lazima wakuletee mbamba nyingi! kuna mtu wa kuitwa Tips master alikuwa anatumia 22bet aliunda group akasema lile group stake ni kuanzia 2M wakambutua siku mbili tatu 22bet wakaanza figisu za kutoa njia za kuwithdraw ndo mpaka leo hii ile kampuni ikafa maana walikuwa wanapigika haswaaa
 
Kuna nyingine DC ya Ac Millan ya wazi wazi kabisa
Mhhh!...... Jichanganye uone!...Ya motoo hiyo!....Hiyo ni Milan Derby mzee!.... Kama simba na yanga...

hata kama mmoja awe mkiani karibu na kushuka daraja(let say Ac milan) ...na mwingine anaingoza ligi (Inter)...matokeo ya mechi yatakushangaza...

Bookies sio wajinga kuset odds kama unavyoziona mkuu...mechi za hivi Huwa sizibetii kabisa hata iwe over 0.5!
 
M
Kweni braza mtaji hauwezi kuukuza taratibu? Mfano unaanza na buku, unafika elfu 10 then unafika laki moja...hapo utakuwa na mtaji mkubwa tu...Mimi siamini Kama tatizo ni mtaji bali naona Kama wengi wetu bado hatujajua kucheza na market mbalimbali wengi tunabase kwenye direct win bado
Market zipi Zina nafuu
 
Tangu Betting zianze zaidi ya miaka 10 watu hawajui kucheza na market options?

Hakuna sure market options kwenye betting
 
Back
Top Bottom