Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oya vipi humu.kuna watu wanatuma link za group alafu ukienda huko wanauza odds
Humu zipo za bure,unauziwaje odds wakati Mechi hachezi yeye.

Ukiwa na tamaa utapigwa mnoo na wauza odds na at the same time Kanji nae anakuchapa

This is Betting and no one has sure odds

Sema unataka odds ngapi then utumiwe kisha uta edit ila kama uelewa mdogo wewe bonyeza bonyeza tu,then zipo utakuwa na zipo utakuoa

This forum is a House Odds
 
Huyu jamaa katusua
20230509_231917.jpg
 
Wakuu, hv kuna mtu amefanikiwa kutoa Pesa Helabet kuanzia jana?? Hawa wangese wameanza Michezo ya kitapeli kama 22bet kipindi kileee! sasa hv nishastuka ukiona kampuni lolote Bongo limefanana na 1xbet halafu kudeposit na kuwithdraw ni kwa Mobile payments jua tu ipo Siku Watakuliza watakimbia na Pesa zako! Bora Uhangaike na mawakala wa 1xbet Kuliko Hao waS£nge
 
Back
Top Bottom