Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,568
- 17,992
Sawa,ila kwakua hatuchezi sisi tahadhari muhimu.Zamalek [emoji736]
Pyramid [emoji736]
Madrid GG [emoji736]
Weka mzg
Sawa,ila kwakua hatuchezi sisi tahadhari muhimu.Zamalek [emoji736]
Pyramid [emoji736]
Madrid GG [emoji736]
Weka mzg
Zamalek naona ashawekwaa huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]Sawa,ila kwakua hatuchezi sisi tahadhari muhimu.
Yale ni cup mbaya sana zile hawatilii maanani, wanaweza kuweka kikosi cha watoto😃 hawakawii wale,Zamalek naona ashawekwaa huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
Hii game zamaleck atashinda 3 au 4Kuna Mku.ndu mmoja anaeitwa Zamalek! Anazama na code yangu ya pesa mingi mnoo!
Nimecopy code humu nimeedit na kuongezea timu kumbe nimekisahau hichi kibwengo!....
Huwa sikibetiagi kabisa Sijui leo imekuaje!? Dah!
Ipo Kitambo kiasi,ila ngum mnoooSPORTPESA ina Cashout siku hiziii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sihamiii tena walahiii
Bundesliga huwezi kuta over 1.5 sportpesa sana sana wataanzia 2.5 wkt helabet unakuta hadi over 0.5SPORTPESA ina Cashout siku hiziii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sihamiii tena walahiii
FT 2-2 na zamaleki kaenda kushinda extra timezamaleki katokaje? sitaki kujisumbua kulog in maana dk ya 80 alikua 2-2
under 1.5 1htK. Benzema Team vs E.Haaland Team......CONFIDENCE! ON OVER 1.5 1Half!.
dah....FT 2-2 na zamaleki kaenda kushinda extra time
Hakuna kitu nachukia kama hikipepo la timu moja limeniandama!
Noma unaweza kwenda hata mwezi mzima ni ndoige tupepo la timu moja limeniandama!