bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,912
- 10,754
Wakuu, hv kuna mtu amefanikiwa kutoa Pesa Helabet kuanzia jana?? Hawa wangese wameanza Michezo ya kitapeli kama 22bet kipindi kileee! sasa hv nishastuka ukiona kampuni lolote Bongo limefanana na 1xbet halafu kudeposit na kuwithdraw ni kwa Mobile payments jua tu ipo Siku Watakuliza watakimbia na Pesa zako! Bora Uhangaike na mawakala wa 1xbet Kuliko Hao waS£nge
Hela inatoka vizuri tu mkuu, wala hakuna shida, mm nmetoa jana na leo bila bugudha.