Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,609
- 10,491
weka kodi ya huu mkekaIpo siku utaniomba namba ili unipe ya pongezi
weka kodi ya huu mkekaIpo siku utaniomba namba ili unipe ya pongezi
[emoji445]Kumekucha Kwa uzuri ...... Nafumbua macho.....Bwana amenihifadhi....Ni wake mtoto...
Bwana niwe leo kutwaa....ulinzini mwakoo....[emoji445]....
Sabath morning gospel....tumkumbuke muumba mara Moja Moja wakuu!...
Maana nahisi hili jukwaa limeingiliwa na MAPEPOO! Hakuna WIN WIN WIN! alaa!? Kemea PEPO! La kuloose slips!....
Ilo kosa la kutokujua viwanja huwa linatuumiza sana sijui tufanyeje tupate ufumbuzi ....makosa ni mengiInter mwenyewe hapo ni home [emoji38]
Kama simba na yanga kwa mkapa
Mkuu no need kuyasema hayo..yaani sasa hivi hata wafungaji wakiwepo..kazi bure tu..Mbona kikosi kizuri tu cha MILAN jana..kakosekana LEAO tu..itoshe kusema BETTING NI NGUMU SN NOWDAYS hata ukute odd ya 1.19 Vs 9.50 bdo tu utafeli hata kikosi kiwe full..Ulijua kama man city atapigwa chuma 2 kwake na Brentford?!.Ilo kosa la kutokujua viwanja huwa linatuumiza sana sijui tufanyeje tupate ufumbuzi ....makosa ni mengi
Kama
1)kutokujua wafungaji tegemezi watakao kuwa awachezi
2) kutokujua makipa tegemezi watakao kuwa awachezi
3)kutokujua mabeki tegemezi watakao kuwa awachezi
4) kutokujua viwanja hivyo tume kremu tu kuwa wanacheza ugenini au nyumbani kumbe mechi nyingine wote wapo nyumbani kama simba na yanga kwa mkapa au wote wapo ugenini maana mechi kama ya simba na yanga wanaweza kuche za mkoa wowote hivyo kusababisha wote kuwa ugenini ...kama ilivyo kuwa kwenye timu ya taifa ya uganda na tanzania mechi ya kwanza wote walikuwa ugenini
Ilo kosa la kutokujua viwanja huwa linatuumiza sana sijui tufanyeje tupate ufumbuzi ....makosa ni mengi
Kama
1)kutokujua wafungaji tegemezi watakao kuwa awachezi
2) kutokujua makipa tegemezi watakao kuwa awachezi
3)kutokujua mabeki tegemezi watakao kuwa awachezi
4) kutokujua viwanja hivyo tume kremu tu kuwa wanacheza ugenini au nyumbani kumbe mechi nyingine wote wapo nyumbani kama simba na yanga kwa mkapa au wote wapo ugenini maana mechi kama ya simba na yanga wanaweza kuche za mkoa wowote hivyo kusababisha wote kuwa ugenini ...kama ilivyo kuwa kwenye timu ya taifa ya uganda na tanzania mechi ya kwanza wote walikuwa ugenini
Sasa hapo kwani wafungaji wa timu pinzani awakuwepo wewe umeangalia upande mmoja kama ungeangalia pande zote ungegundua hiyo ngoma ngumu maana wote walikuwa wamekamilika timu zote ....mfano simba na yanga inatakiwa uangalie wafungaji wa timu zote na mabeki wa timu zote na makipq wa timu zote siyo unaangalia upande mmoja tu..kukamilika kwa upande mmoja hakumaanishi kutokukamilika kwa upande wa piliMkuu no need kuyasema hayo..yaani sasa hivi hata wafungaji wakiwepo..kazi bure tu..Mbona kikosi kizuri tu cha MILAN jana..kakosekana LEAO tu..itoshe kusema BETTING NI NGUMU SN NOWDAYS hata ukute odd ya 1.19 Vs 9.50 bdo tu utafeli hata kikosi kiwe full..Ulijua kama man city atapigwa chuma 2 kwake na Brentford?!.
Watu wanaujasiriii...Mln,hahahhaaMshkaji wangu...View attachment 2617190
Mkuu hii inaitwa kimya kimya hatumfukuzi mwizi kwa kelele 🤣Nimekubali kweli watu wengine wameacha betting
Maana jukwaa lipo kimyaaaa
Bora mpumzike mrejeshe nguvu za kiume,maana la sivyooo balaa zito.
[emoji16][emoji16][emoji16]kaka nmenyoosha mikono[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mhhh!...... Jichanganye uone!...Ya motoo hiyo!....Hiyo ni Milan Derby mzee!.... Kama simba na yanga...
hata kama mmoja awe mkiani karibu na kushuka daraja(let say Ac milan) ...na mwingine anaingoza ligi (Inter)...matokeo ya mechi yatakushangaza...
Bookies sio wajinga kuset odds kama unavyoziona mkuu...mechi za hivi Huwa sizibetii kabisa hata iwe over 0.5!