Huu ni upuuzi mwingine.kuna mtu humu tupo group moja la whatsup la betting la e sport na hajui hilo jana alikuwa ananiponda mimi wakala wa kanji
nakujibu hivi
View attachment 2618698
In fact atajiona alikuwa sahihi. Maana unazowawekea watu zinachana Kila siku na ulizocheza mwenyewe bila ku Shea zikawini. So si ndio ataona alitamka sahihi kuwa wewe ni wakala wa kupoteza watu?.