Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Direct win ni hatari [emoji51][emoji51][emoji51] Lazio
Screenshot_20230513_075511_Chrome.jpg
 
Meridian kuna shida gani wazee nimetoa hela toka jana haijafika na kwenye acount imeshatoka
 
Mwenye ushauri mechi ya Newcastle nataka niweke 50000 inakuja 85000 mwenye lolote kabla sijapasuka mwenzenu..nasubiria maoni ..naweka mechi moja..
 
Back
Top Bottom