EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,400
- 14,260
Vipigo vya nyuma nikaona bora ninunue bundle tuu.Stake ilikua ndogo boss ungeacha.
Vipigo vya nyuma nikaona bora ninunue bundle tuu.Stake ilikua ndogo boss ungeacha.
Hapo ndio tatizo huwezi jua ni lini utapataVipigo vya nyuma nikaona bora ninunue bundle tuu.
Mi sinaga tabia ya kucash out,nikiweka nimewekaVipigo vya nyuma nikaona bora ninunue bundle tuu.
Nikajua ndo ushabeba ist mkuu.....😂😂
ahsante kakaHongera
Kwangu Cashout ni mwiko mkuu. Cashout offer ilikuja 285k - Nilikaza fuvu.Nilifata ila niliwah kucash out nilipoona dkk ya 81 kuna timu ilikua haijafunga[emoji2296][emoji2296] loh najuta kucash out[emoji16][emoji16]
Kwangu Cashout ni mwiko mkuu. Cashout offer ilikuja 285k - Nilikaza fuvu.
Kwangu Cashout ni mwiko mkuu. Cashout offer ilikuja 285k - Nilikaza fuvu.
Bei gani hiyo mkuu?[emoji16][emoji16][emoji16] nimejifunza na mm dah najuta View attachment 2620790
Bei gani hiyo mkuu?
Duuuhh pole sana mkuu. Vipigo ndivyo hutuogopesha. Lakini mwenyewe naumia kucashout hafu mkeka utoe. Nishawahi cashout 35k nikapishana na 1.2MKuna siku nilifata code yako kaka nikapigwa laki 2[emoji16][emoji16] ilikua jumapili flani hv basi leo nikawa nna wasi wasi kama naoga nnje sa hv ningekua namwagilia moyo
ahsante sana mkuuHongera
ahsante sana mkuuHongera sana, aisee!
ahsante sana mkuuHongera
ahsante sana mkuuDuh..! SHEIKH wangu!!! Mpaka nimeogopa aisee.... Hongera man...ile ya kwetu imechana Moja man....wase,ng'e wanapata penalt 2 zote zinadakwa dah!