Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betpawa code. 5035774


Mechi 54 nimepunguza


Machaguo ni. over 0.5 , over 1.5 , under 5.5 , under 4.5 , no clean sheet ,

Nimetumia. Prediction sites za ;


1. www.statschecker.com
2. Footballpredictions.net


Comment on +/- please

tule hela jumapili hii ,

NB ukiweka 500 inakuja laki 3 na point
Screenshot_20230514-044523.png
 

Asante mkuu leo nasubiri code yako ya jana imeniuma haswa[emoji16][emoji16]
 
Uwe inspired wapi bwana watu dizaini yenu mnakuwaga wachawi tu.Apo ulitaka ujue jamaa kapoteza sh ngapi ili nafsi yako ifurahie. Ndo nyie mtu akilost munafurahia kweli yani
umenikwaza sana dada yangu..ungejua mchawi ina maana gani usingesema hvo.na lini nilifurahi humu mtu akiwa ameLose!!btw hho mkeka alioutuma nimeona kaCashout pale na ndio maana nikauliza kaCashout bei gani..kwani Kuna ubaya gani?
 
umenikwaza sana dada yangu..ungejua mchawi ina maana gani usingesema hvo.na lini nilifurahi humu mtu akiwa ameLose!!btw hho mkeka alioutuma nimeona kaCashout pale na ndio maana nikauliza kaCashout bei gani..kwani Kuna ubaya gani?
Pole mama mpendwa, naona imekuingia mpaka umeumia. Chukua maji moto ujikandekande patapoa
 
Parimatch kwanini ukishinda wanagoma kutoa hela au kuna process ya kufuata?
 
SPORTYBET Kuna shida gani wakuu tangu juzi najaribu Kutoa Hela ziko pending tu aise Kuna alipata hii changamoto pia?
 
Cashout ina maumivu yakee mpaka yakukute ndo utaelewa...!! Japo sometimes bora ucashout kama umepewa hela ya maaana.
Niliwahi weka mkeka 50k inaleta kama 770k nilicheza live, timu zote zikatoa akabaki mchawi mmoja nilimuomba goli Moja tu timu ya nyumbani, mpaka dakika ya 89 kapigwa 0-4 afu timu niliyoomba goli dakika za 80 akapigwa red mbili, Cha ajabu dakika ya 89 kanji bado anatoa cashout ya 43,000, nikaivuta fasta nikasema hii napiga ata bia, yaani ile imeingia tu sijatoka hata online mechi ika shake nikajua dakika ya 90 mpira ndo unaisha, mjinga akapiga goli, aisee kitendo Cha dakika Moja niliumia sana aisee... Nikasema sitakaa nicashout tena,

Siku Hio Hio nikaweka laki nikawapa wakubwa wote washinde normal tu, mechi zinaanza Muda mmoja odds kama 6 ivi inakuja laki 6 na maokoto, mpaka half time cashout laki 5 wote wanaongoza nikasema ya Nini na nilishaapa sita cashout tena, huweza amini Kuna mjinga full time alipigwa 3-1 na underdog!!!


Kanji Hana formula
 
Back
Top Bottom