MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Kwa kweli kanji hana formula.Niliwahi weka mkeka 50k inaleta kama 770k nilicheza live, timu zote zikatoa akabaki mchawi mmoja nilimuomba goli Moja tu timu ya nyumbani, mpaka dakika ya 89 kapigwa 0-4 afu timu niliyoomba goli dakika za 80 akapigwa red mbili, Cha ajabu dakika ya 89 kanji bado anatoa cashout ya 43,000, nikaivuta fasta nikasema hii napiga ata bia, yaani ile imeingia tu sijatoka hata online mechi ika shake nikajua dakika ya 90 mpira ndo unaisha, mjinga akapiga goli, aisee kitendo Cha dakika Moja niliumia sana aisee... Nikasema sitakaa nicashout tena,
Siku Hio Hio nikaweka laki nikawapa wakubwa wote washinde normal tu, mechi zinaanza Muda mmoja odds kama 6 ivi inakuja laki 6 na maokoto, mpaka half time cashout laki 5 wote wanaongoza nikasema ya Nini na nilishaapa sita cashout tena, huweza amini Kuna mjinga full time alipigwa 3-1 na underdog!!!
Kanji Hana formula
Kuna siku nimestake 400k kushinda 1.3m, kufika HT kanji kanipa offer ya 850k cash out nikakaza fuvu kuwa siwezi kucashout.
Guess what, maumivu.!