Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nawapongeza na kuwaheshimu sana wakamaria wenye juhudi hizi:

1: waliopata mtaji wa sh. 10,000+ kutoka kwa bookmaker kwa stake ya sh. 50-1000.

2: mwisho wao wa kudeposit ni sh. 1,000 na faida yao imekuwa hadi sh. 50,000+

3: prediction winning rates zao ni kubwa kuliko sources kubwa duniani kama tipsbet.co.uk, venasbet.com n.k

NAWAHESHIMU SANA HAO WATU
 
Kwangu Cashout ni mwiko mkuu. Cashout offer ilikuja 285k - Nilikaza fuvu.

Kuna siku nilifata code yako kaka nikapigwa laki 2[emoji16][emoji16] ilikua jumapili flani hv basi leo nikawa nna wasi wasi kama naoga nnje sa hv ningekua namwagilia moyo
 
Kuna siku nilifata code yako kaka nikapigwa laki 2[emoji16][emoji16] ilikua jumapili flani hv basi leo nikawa nna wasi wasi kama naoga nnje sa hv ningekua namwagilia moyo
Duuuhh pole sana mkuu. Vipigo ndivyo hutuogopesha. Lakini mwenyewe naumia kucashout hafu mkeka utoe. Nishawahi cashout 35k nikapishana na 1.2M

Tokea hiyo siku naogopa hicho kitufe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…