Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Total corner ft time Mara nyingi hazipungui 8
1st half Mara nyingi si chini ya 3
2nd half Mara nyingi zipo over 4..
So ni option rahisi
 
Another day another door.
Internacional RS v Atletico Mineiro MG Intern win normal odd 2.03
Valur Reykjavik v FH Hafnarfjordur Y odd 1.59
Stake 25000
Return 80750

Hapo Muhindi akitoka nitamvisha nyota kesho asubuhi.
Kamnunulie ile ya Tip Top Connection......
 
Total corner ft time Mara nyingi hazipungui 8
1st half Mara nyingi si chini ya 3
2nd half Mara nyingi zipo over 4..
So ni option rahisi
Cheza uone kama kuna option rahisi....

France v Albania alipewa France shots on target 5.5 odds ya 1.8.... , Yani mechi nzima Ufaransa apige tu mashuti 6 golini.... Ukicheki ni rahisi tu eti!!?? Sasa mpaka mechi imeisha France kapiga shuti 3 tu.... ...
 
Good morning wadau hivi hawa mkeka bet vipi hawako hewani toka Jana? Au ni simu yangu tu? Msaada please.
 
Umundan kumekucha! Wadau msaada wenu hii droo no bet imekuaje maana nilimpa ivo German na kadroo ,kanjubah kaniwekea pesa ya ushind nahis km kajichanganya binafs nilidhan ulitakiwa uniludishie pesa niliyokua nmebet au ikoje wadau!
 
Hamna cha kuliwa matako WW hyo ni fomula ya maisha na biashara ukitaka Kula lazma na ww ukubali kuliwa ww wa WAP?? Woga wako umaskin wako ndonyie mnatusumbua na kuomba lift njian dawa yenu nikuwapiga vumbi tu nybafuuuu!
 
Ni vizur watu muwe mnasoma kichwa cha hbr km mada haikuusu ya nn kuingia
 
Mm nazungumzia corners...shoots ni ngumu kidogo...na hizo corners nimezicheza sana kwenye euro nimeona zinalipa kwa kweli kuliko option yeyote kwangu..Jana pekee ndio mechi ya Ukraine ilikuwa na corners chache 5..ila nilicheza live Ireland waongoze corners 1st half ikatokea...Japo hakuna option utakayokula kila siku..haipo
 
Germany jana kanifanyia mbaya sana.
Baada ya Germany kushindwa kupata 1+ kipindi cha pili jana wadau napumzika mpaka mwezi wa 8. Sijui nitaweza kupumzika kweli??? Hahahaha
huwa n vgumu kinyama m najitahid siku moja tu inayofuata ndani..
 
Good morning wadau hivi hawa mkeka bet vipi hawako hewani toka Jana? Au ni simu yangu tu? Msaada please.
Kama unatumia chrome delete cookie kwanza au kama vp badilisha browser. Wako full hewani jana wamenipa kianzio cha leo.
 
Mie kupumzika naweza...uwa nakaa ata miezi 3 ila napita hapa tu... sasa jana nikatafuta Option ambaya niliona ni vigumu sana kuliwa....Option ya mchezaji kutoka Benchi then aje kufunga nikatia 300,000....***** Vardy anamisifa ya kijinga akatia Kambani sasa napumzika tenaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…