Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[4/4]
0029 16-06 16:00:00 England-Wales
Substitute to Score No 1.25
0030 16-06 19:00:00 Ukraine-N. Ireland
Substitute to Score No 1.25
0031 16-06 22:00:00 Germany-Poland
Total Shots on Goal[10.5] Over 1.80
0203 17-06 04:30:00 USA-Ecuador
Red card No 1.33
------------------------------------------
Total: 300000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.74
Max payout: 1122187.50
Combination count: 1
------------------------------------------
hii option inanivutia na ninahisi nitarejea meridian kama wao ndio wanayo
 
Kwa wale wa mkekabet ukitumia chrome inazingua jaribu kutumia browser nyingine
 
Hiv mkeka bet wana option ya kuchange bet au ukishabet nfoimetoka,nshaona Ukrain na mwenzake wanazengua niliwapa over1.5 had mapumziko cheche!
 
Here we go, Back in business. TENDENDEEE, KAMA PICHA LA "THE HARD WAY VILE"
Germany v Poland Germn win odd 1.59
IFK Varnamo v Athletic United Y Odd 1.6

Stake 25000
Return 63500

Mdogo mdogo kama Diamond
 
Another day another door.
Internacional RS v Atletico Mineiro MG Intern win normal odd 2.03
Valur Reykjavik v FH Hafnarfjordur Y odd 1.59
Stake 25000
Return 80750

Hapo Muhindi akitoka nitamvisha nyota kesho asubuhi.
 
Bongo bana, kila kitu not reliable ... Premierbet nao cheche ... grrrrrrrrrr!

upload_2016-6-16_20-47-20.png

Itabidi kuhamia bet365 tu hakuna namna.
 
Half With More Goals 1>
Hii option wadau nayo nzur sana inatoa af ina odd kubwa sema haitaji papala na kwa nilivyotaft cku kazaa iz timu za ligi ya Russia,Brazil B na Japan znatoa sana tulifanyie kazi na hili kma hamtopuuzia
Hii option ni ngumu uwezo wa predict kipindi kipi kitakuwa na magoli huwezi kufananisha na kusema kutakuwa magoli 1,2,3 kwasababu magoli hufungwa sekunde yeyote ile ya mchezo..alafu haina tabia mfululizo ambayo hutusaidia kupredict...sasa ukicheza hivyo itakuwa pure bahati nasibu kama kupredict correct score
 
Du! Hii biashara ni nzur hla sasa naona kuna hatar ya kutoa magonjwa ya moyo maana skutegemea km game la ukrain lingepatkana gol la pili wakat wengine mnabana mm sasa nmeyaachia kidogo nipasuke msamba ,du! Tufanye sana mazoez lasivo pressure ni njenje ,sasa nimebak na ujeruman akipigwa tu imekula kwangu.
 
Ulibet kama mimi
 
Hii option ni ngumu uwezo wa predict kipindi kipi kitakuwa na magoli huwezi kufananisha na kusema kutakuwa magoli 1,2,3 kwasababu magoli hufungwa sekunde yeyote ile ya mchezo..alafu haina tabia mfululizo ambayo hutusaidia kupredict...sasa ukicheza hivyo itakuwa pure bahati nasibu kama kupredict correct score
Okay get you mkuu
 
nime deposite hela premier bet tokea saa nne asubuhi hadi sahz haijaingia kweny acc mweny namba yao msaada pliz
 
Back
Top Bottom