Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pesa iko hapa
ba4f5d1f963da070ca60a57f5d5fc0b8.jpg
 
Hongera mkuu. Naona hii option unashinda bado alfajiri kabisa.

asante mkuu, ni option nzuri hasa kwa timu ambazo zinakuwa zimekamiana lakini hazina forward wazuri. kwa timu ambazo hazina cha kupoteza unaweza kuta kipindi kizima hakuna goal kick wala kona.
 
Hakuna kipindi kitaisha bila goal kick aseee......
 
Mkuu km unafahamu namba ya kuweka pesa kwenye hii bet 365 na nilifungua nkafka sehemu nikaombwa promo code ,ikawa majanga msaada plz!
 
Mkuuu hapo unatakiwa uwe na Visa, Mastercard au utumie Netteller
 
Mkuu km unafahamu namba ya kuweka pesa kwenye hii bet 365 na nilifungua nkafka sehemu nikaombwa promo code ,ikawa majanga msaada plz!

mi huwa natumia banc abc nalipia cash card yao ambayo ni visa/mastercard na inakuwa tayari kufanya malipo/manunuzi online. ndio huwa naweka hela humo kwa mpesa na kuitumia kudeposit bet365. nikibahatisha nika win nawithdrawal kupitia akaunti hiyo ya abc na nikitaka kuitoa nata tu kwenye atm yoyote inayopokea visa.
 
[4/4]
0029 16-06 16:00:00 England-Wales
Substitute to Score No 1.25
0030 16-06 19:00:00 Ukraine-N. Ireland
Substitute to Score No 1.25
0031 16-06 22:00:00 Germany-Poland
Total Shots on Goal[10.5] Over 1.80
0203 17-06 04:30:00 USA-Ecuador
Red card No 1.33
------------------------------------------
Total: 300000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.74
Max payout: 1122187.50
Combination count: 1
------------------------------------------
Duh pole mkuu
 
Half With More Goals 1>
Hii option wadau nayo nzur sana inatoa af ina odd kubwa sema haitaji papala na kwa nilivyotaft cku kazaa iz timu za ligi ya Russia,Brazil B na Japan znatoa sana tulifanyie kazi na hili kma hamtopuuzia
 
Iyo kitu wadau ipo poa sana yani sisi tu pesa mbona ipo tu kwa madevu umakini wetu tu na ushilikiano wetu mana ushilikiano wetu mdgo dat y kila cku tunalalamika Leo ucku wa leo kuamkia kesho izo ligi zote zacheza apo leo tukiacha ubinafsi tukalifanyia kazi ilo kesho wte tunakenua umu itakua zamu yake muhindi kulia sasa ivo yan wakali wakuchambua wachambue wengine watie maoni tutie mizgo leo mapema kesho tumnunishe muhind af c twala nne tu ni ayo tu jamn
 
Tuache kidgo kucheza izo win za kizembe ambazo mtu unaweka pesa nyingi , odd ndgo af risk ya kuliwa nayo kubwa sa huu c upuuz huu kwanini tucmtajilishe muhind kwa stail hii. apo mzee 1> tupia buku tano tu timu zko mbili za huhakika with accurate bet mathematical calculation unalala kibos uhakika wa ya supu kilo or nusu hukosi ivo yan tushilikiane ile realy tutoboeee[emoji111]
 
Hivi MKEKA BET umerudi waungwana???? Maana kwangu siuoni???? Bado wanasema wako kweny uboreshaji??[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom