ha haaaa yani umefuata point ndogo ndogo tu![]()
Mzigo wa leo huo..
Wadau naomba kuuliza hv mkeka bet option za malipo ni m pesa peke yake au kuna mtandao mwingine
Asante mkuuKwa sasa ni Mpesa tu...Ila hatuwezi jua labda baadae watawekana mitandao mingine...